- 219 viewsMwanahistoria na mwandishi wa vitabu Mohamed Said anaelezea namna Dr Salim Ahmed Salim ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi huru Barani Afrika OAU na Waziri Mkuu wa Tanzania alivyotekeleza wajibu wake na kuweza kumjengea sifa kubwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Ungana naye akieleza sababu zilizopelekea siasa za mambo ya nje za Tanzania kung'ara... #tanzania #kumbukumbu #kidigitali #katibumkuu #umojawanchihuru #afrika #salimahmedsalim #wazirimkuu #voa #voaswahili #wakili #mwandishi #mwanahistoria #mohamedsaid #ahmedsalim - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Mwanahistoria Mohamed Said aeleza jinsi Dr Salim Ahmed Salim alivyoifanya Tanzania ing'are duniani
- - Kina mama waenziwa ››
- 12 May 2025 - Former Deputy President Gachagua has alleged that President William Ruto vetoed the selection of Charles Nyachae as the next Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) chairman.
- 12 May 2025 - In the small Peruvian town of Eten, the faithful flock every year to celebrate an apparent 17th century miracle featuring images of the child Jesus, a sacred phenomenon not yet recognized by the Vatican.
- 12 May 2025 - Detectives in Athi River have arrested three suspects linked to a number of robberies in the area.
- 12 May 2025 - The United States and China on Sunday said progress had been made after a weekend of talks aimed at de-escalating trade tensions sparked by President Donald Trump's aggressive tariff rollout.
- 12 May 2025 - Kenya National Union of Teachers (KNUT) Secretary General Collins Oyuu has called on the government to ensure that the capitation funds for schools are released on time.
- 12 May 2025 - The frontier between arch-foes India and Pakistan was peaceful and had the "first calm night in recent days", the Indian army said Monday, after a surprise weekend ceasefire.
- 12 May 2025 - The first white South Africans granted refugee status under a programme initiated by U.S. President Donald Trump boarded a plane to leave from the country's main international airport in Johannesburg on Sunday.
- 12 May 2025 - So far, nine individuals have expressed interest in the country's top seat.
- 12 May 2025 - When faith meets science: Religious leaders endorse cervical cancer jab
- 12 May 2025 - They are to appear before the DCI at 11am.