Vijana Trans-Nzoia wamejitosa katika sekta ya filamu

  • | Citizen TV
    216 views

    Vijana katika kaunti ya Trans-Nzoia wamejitosa katika sekta ya filamu ili kusaidia kubuni nafasi za kazi na kujiepusha na maswala ya uvunjaji sheria.