Garissa yaweka mikakati ya kukabili El-Nino

  • | Citizen TV
    597 views

    Huku msimu wa mvua ya El-Nino ikitarajiwa hamasisho limetolewa kwa wale wakaazi wanaoishi kwenye nyanda za chini kuhamia katika sehemu za juu ili kuepuka mafuriko