Makala ya wachezaji wa zamani ambao wameathirika na afya ya akili

  • | K24 Video
    35 views

    Wanariadha shupavu waliotia fora kitaifa na kimataifa, baadhi yao ni waathiriwa wa afya ya akili. Wachezaji hawa wa zamani wana matatizo ambayo mwana saikolojia Bi Ann Gitere anatufafanulia. Tunakutana pia na mwanamasumbwi wa zamani. Ndichu Kamau ambaye kwa sasa hali yake hairidhishi. Lakini kuna baadhi ya wachezaji wa zamani ambawo wamejishughulisha na maswala mengine katika taaluma ya michezo na wana maoni tofauti. Kuna wale ambao tayari wameshaona kesho yao na wanajipanga ipasavyo.