Skip to main content
Skip to main content

Mgomo wa wahadhiri wasitisha masomo vyuo vikuu

  • | Citizen TV
    691 views
    Duration: 3:11
    Shughuli za masomo katika vyuo vikuu vya umma zimetatizwa baada ya wahadhiri wa vyuo vikuu nchini kuanza rasmi mgomo wao wa kitaifa. Wahadhiri kutoka vyuo vikuu 42 kote nchini wanagoma licha ya serikali kuahidi kuwapa shilingi bilioni 2.5 kurejea kazini. Wahadhiri hawa wanasema hawatarudi kazini hadi watakapopata malipo yao kama walivyoafikiana na serikali.