- 461 viewsDuration: 2:11Msimamizi wa bajeti Margaret Nyakango sasa anasema kuwa kaunti zote nchini zimekuwa zikiendesha akaunti za benki ambazo hazijaidhinishwa. Nyakango akisema kuwa, kuna kaunti kama vile ile ya Homa Bay ambayo inaendeshazaidi ya akaunti 500 za benki. Kwa jumla, kaunti hizi zimeandikisha zaidi ya akaunti elfu tano ambazo hazijaidhinishwa.