- 549 viewsMswaada wa kufadhili Bunge la Marekani uliopitishwa Jumamosi na kusainiwa na Rais Joe Biden uliepusha serikali kufungwa na utaiwezesha serikali kuendelea na kazi zake hadi katikati ya mwezi Novemba. Hata hivyo Rais alionya kuhusu hali hiyo kujirudia tena. Ungana na mwandishi wetu akukuletea hoja ya Rais Biden kuhusu kuepuka kutokea mzozo mwengine. Endelea kusikiliza... #mswaada #ufadhili #bunge #marekani #rais #joebiden #serikali #mzozo #voa #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Rais Biden awaasa Warepublikan kuepusha mzozo mwengine wa kupelekea serikali kufungwa
- - Bonus Allocations ››
- - National Cohesion ››
- - IEBC Nominees Debate ››
- - Ong'ondo Were Burial ››
- 9 May 2025 - The government has finalised the agreement to lease four sugar factories to private millers in a bid to revitalise the struggling sugar industry.
- 9 May 2025 - Hours after the High Court issued an order compelling the Inspector General of Police to produce missing politician and businessman Phillip Aroko, police officers presented him at Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) Court at 3pm.
- 9 May 2025 - The High Court has ordered the government to produce businessman Phillip Aroko in court by Monday, following concerns over his continued detention without being arraigned or released on bond.
- 9 May 2025 - A middle-aged man has been handed a life sentence after being convicted of defiling a two-year-old child in Kisumu.
- » African governments urged to fully fund primary healthcare through taxes to curb corruption, wastage9 May 2025 - A number of African countries currently fund their healthcare schemes through a combination of beneficiary contributions, taxes, and government allocations. However, some nations still require patients to fully cover their medical expenses out of pocket.
- 9 May 2025 - Kenya’s exports continue to depend heavily on the East African Community (EAC) as a key market, according to the 2025 Kenya Economic Survey.
- 9 May 2025 - The High Court has declined to refer cases of abductions and enforced disappearances in Kenya to the International Criminal Court (ICC), ruling that national institutions are still capable of handling such matters.
- 9 May 2025 - Thursday, May 8, 2025, marked the election of the worldwide Pontiff of the Roman Catholic Church. Cardinal Robert Francis Prevost, the 267th Pontiff, was elected Pope and Archbishop of Rome and from now henceforth will be known as Pope Leo XIV.
- 9 May 2025 - In total, 13 Popes have taken the name Leo before Leo XIV, making it one of the more popular.
- 9 May 2025 - City lawyers Danstun Omari, Cliff Ombeta, Shadrack Wambui, Stanley Kinyanjui and Sam Nyaberi had also appeared in court on behalf of Aroko and co-accused Edwin Oduor.