Spika wa Baraza la Wawakilishi amjibu Mrepublikan Mconservative Matt Gaetz, '... basi tupambane'

  • | VOA Swahili
    363 views
    Je, unajua ni kitu gani ambacho Mrepublikan Mconservative Matt Gaetz anataka kutekeleza dhidi ya chama chake na kwa sababu gani? Ungana na mwandishi wetu akikuletea mvutano na mpasuko uliojitokeza katika chama cha Republikan na nini Gaetz katika Baraza hilo la Wawakilishi Marekani anataka kutekeleza dhidi ya Spika wa Bunge Kevin McCarthy. Endelea kusikiliza... #mrepublikan #republikan #chama #mattgaetz #kevinmccarthy #barazalawawakilishi #spika #bungelamarekani #voaswahili #voa - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.