18 Sep 2025 10:09 am | Citizen TV 142 views Duration: 2:32 Mgomo wa wahadhiri kote nchini umeingia siku ya pili hii leo ambapo wahadhiri wa chuo kikuu cha kibabii kaunti ya Bungoma wanashinikiza kutekelezwa kwa mkataba wao na serikali.