- 201 viewsDaktari Denis Mukwege aeleza kilicho msukuma kugombea nafasi ya urais DRC “Daktari Mukwege, wewe ni Mshindi wa Tuzo ya Nobel wa DRC, umetangaza unagombea urais wa DRC. Nini kilicho kusukuma kufanya hivyo?” “Nafikiri kitu cha kwanza kilicho nisukuma ni kwa miaka kadhaa wanajamii wa Congo wamekuwa siku zote wakiniuliza iwapo ninaweza kugombea urais wa Jamhuri hii. Hivyo basi, nilikuwa nikipata maombi, lakini hadi wakati huo, ilikuwa nahisi vigumu kuondoka katika eneo langu la uzoefu na kuanza kuingia katika njia hii mpya ya kuwasimamia watu wa Congo, na kuwasaidia. “Miaka kadhaa iliyopita, nimeshuhudia hali nchini kwetu – katika misingi ya usalama, siasa na jamii – imeharibika, kiasi kwamba hivi sasa tumekuwa katika hali ya kuwa na hofu, kwa hali ya uhai wetu, kwa umoja wa nchi yetu.” Kutokana na hali hii, nimejikuta katika mazingira ambayo ni lazima nitumikie wito huu, na leo, nimetoa jawabu la “ndiyo” kwa wito wa wanajamii wa Congo.” #DRC #RDC #Mukwege #Congo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Daktari Denis Mukwege aeleza kilicho msukuma kugombea nafasi ya urais wa DRC
- - Road to Olympics ››
- 17 May 2024 - Parliament has raised the red flag over alleged massive graft in the issuance of capitation funds to Junior Secondary Schools (JSS) across the country.
- 17 May 2024 - National Assembly Finance Committee Chairman and Molo MP Kuria Kimani has shed light on the rationale behind the Treasury's proposal to introduce a 16% Value Added Tax (VAT) on bread.
- 17 May 2024 - Israeli government splits over the war in Gaza broke open this week, after the Defence Minister publicly demanded a clear strategy from Prime Minister Benjamin Netanyahu as troops returned to battle Hamas fighters in areas thought to have been cleared…
- 17 May 2024 - 23-year-old Maseno University student arrested over alleged rape of two first years
- 17 May 2024 - The Kenya Met boss also issued a weather forecast for the Nairobi metropolis.
- 17 May 2024 - All is set for the much anticipated Limuru III conference Friday even as division continues to rock the meeting.
- 17 May 2024 - The IMF directors, who toured Kenya last month, sought to review the program before approving the loan.
- 17 May 2024 - At 73, Mr Modi remains a massively popular yet polarising figure, both in India and abroad.
- 17 May 2024 - Kajiado Governor Joseph Ole Lenku is on the spot over allegedly engaging in bipartisan campaigns of the Keekonyokie trust land officials elections slated for next week, 24th. Ole Lenku on Wednesday attended a campaign rally allied to one faction seeking…
- 17 May 2024 - Harvest road runoff to reduce water scarcity