18 Sep 2025 10:30 am | Citizen TV 656 views Duration: 1:32 Wahudumu Wa boda boa katika mji wa Kajiado wamezindua rasmi mfumo wa Kidijitali wa kuwatambulisha wahudumu wote kwa lengo la kuwaondoa wahuni ambao wanajificha katika sekta ya boda boda na kisha kutekeleza uhalifu.