18 Sep 2025 10:35 am | Citizen TV 88 views Duration: 2:04 Ni afueni kwa wakazi wa Kambito na Mnaoni eneo bunge la Voi kaunti ya Taita Taveta baada ya serikali kupitia wizara ya kawi kuanzisha mpango wa kuwasambazia umeme.