- 124 viewsDuration: 1:41Vyuo saba vya mafunzo ya kiufundi katika kaunti ya Bungoma kwa ushirikiano na idara ya misitu vimeongoza shughuli za upanzi wa miti katika msitu wa kaberwa eneo bunge la Mlima Elgon ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.