- 112 viewsDuration: 2:01Baadhi ya wafanyabiashara kutoka kaunti ya Kwale wanapinga mswada wa marekebisho wa kudhibiti uuzaji bidhaa za tumbaku wa mwaka 2024 uliowasilishwa kwenye bunge la seneti na kutaka uondolewe wakisema utaadhiri biashara zao.