Wapalestina wakibeba miili ya wale waliouawa katika shambulizi la anga la Israeli huko Gaza
Wapalestina wakiwa wamebeba miili ya wale waliouawa katika shambulizi la anga lililofanywa na Israeli katika Gaza, kufuatia shambulizi la kushtukiza lililofanywa na kikundi cha Kiislam cha Hamas dhidi ya Israeli Jumamosi (Oktoba 7).
Maafisa wa afya wa Gaza walisema Wapalestina 198 waliuawa katika shambulizi la anga wakati mabomu yalipopiga ndani ya mji wa Gaza City, na kusambaza moshi mweusi uliotanda angani.
Hamas walifanya shambulizi kubwa kabisa ndani ya Israeli lililokuwa halijawahi kutokea Jumamosi, na kuua watu zaidi ya 300 na kujeruhi mamia wengine katika shambulizi la kushtukiza lililohusisha watu wenye silaha waliovuka mpaka kuingia Israeli huku roketi kadhaa zikifyatuliwa kutoka Gaza.
Shambulizi hilo liliweka historia ya uvamizi uliokuwa haujawahi kutokea ndani ya Israeli lililofanywa na idadi isiyojulikana ya wanamgambo wa Hamas wenye silaha waliovuka mpaka kutoka Ukanda wa Gaza, na kuwa pigo kubwa kwa Israeli katika mgogoro wao na Palestina tangu mashambulizi ya kujitoa mhanga ya Intifada ya Pili miongo miwili iliyopita.
#israel #gaza #reels #igreels #videography #voa #hamas
17 May 2024
- The Kenya Met boss also issued a weather forecast for the Nairobi metropolis.
17 May 2024
- The IMF directors, who toured Kenya last month, sought to review the program before approving the loan.
17 May 2024
- The proposal would have seen bread prices increase by over Ksh10.
17 May 2024
- Parliament has raised the red flag over alleged massive graft in the issuance of capitation funds to Junior Secondary Schools (JSS) across the country.
17 May 2024
- National Assembly Finance Committee Chairman and Molo MP Kuria Kimani has shed light on the rationale behind the Treasury's proposal to introduce a 16% Value Added Tax (VAT) on bread.
17 May 2024
- Israeli government splits over the war in Gaza broke open this week, after the Defence Minister publicly demanded a clear strategy from Prime Minister Benjamin Netanyahu as troops returned to battle Hamas fighters in areas thought to have been cleared…
17 May 2024
- 23-year-old Maseno University student arrested over alleged rape of two first years
17 May 2024
- The Kenya Met boss also issued a weather forecast for the Nairobi metropolis.
17 May 2024
- All is set for the much anticipated Limuru III conference Friday even as division continues to rock the meeting.
17 May 2024
- The IMF directors, who toured Kenya last month, sought to review the program before approving the loan.
17 May 2024
- At 73, Mr Modi remains a massively popular yet polarising figure, both in India and abroad.
17 May 2024
- Kajiado Governor Joseph Ole Lenku is on the spot over allegedly engaging in bipartisan campaigns of the Keekonyokie trust land officials elections slated for next week, 24th. Ole Lenku on Wednesday attended a campaign rally allied to one faction seeking…
17 May 2024
- Harvest road runoff to reduce water scarcity