Skip to main content
Skip to main content

| Maskani | Mgomo wa wahadhari [Part 3]

  • | Citizen TV
    114 views
    Duration: 25:49
    Mgomo ya wahadhiri wa vyuo vikuu imefikia siku ya pili hii leo Wanafunzi wahofia watachelewa kufuzu Shughuli za masomo katika vyuo 42 zimekwama Wahadhiri wavuruga masomo vyuoni Wahadhiri wanataka malimbikizi yote kulipwa Wahadhiri wagoma licha ya serikali kutoa Ksh 2.5 B