Skip to main content
Skip to main content

Mgomo wa wahadhiri katika chuo kikuu cha Dedan Kimathi mjini Nyeri

  • | Citizen TV
    60 views
    Duration: 3:35
    Mgomo wa wahadhiri umeendelea kulemaza shughuli za masomo kwenye vyuo vikuu nchini, wakufunzi hao wakilalama kutoafikiwa kwa makubaliano ya mikataba waliyokubaliana na wizara ya elimu. Mwandishi kamau Mwangi amezungumza na wahadhiri wa chuo kikuu cha Dedan Kimathi kilichoko mjini nyeri na hii hapa taarifa ya lalama za wahadhiri wa chuo hicho.