18 Sep 2025 1:15 pm | Citizen TV 84 views Duration: 2:32 Machakos, Wahadhiri hao wakijumuisha miungano ya KUSU na UASU wameandamana mjini humo wakiishinikiza serikali kutekeleza mkataba wa maelewano wa mwaka wa 2025/2029 .