18 Sep 2025 1:17 pm | Citizen TV 64 views Duration: 1:41 Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Pwani, Kaunti ya Kilifi, wameapa kutorejea darasani hadi fedha wanazodai serikali ziingie kwenye akaunti zao.