18 Sep 2025 1:03 pm | Citizen TV 130 views Duration: 25:19 Mgomo ya wahadhiri wa vyuo vikuu imefikia siku ya pili hii leo Wanafunzi wahofia watachelewa kufuzu Shughuli za masomo katika vyuo 42 zimekwama Wahadhiri wavuruga masomo vyuoni Wahadhiri wanataka malimbikizi yote kulipwa