18 Sep 2025 1:08 pm | Citizen TV 88 views Duration: 2:06 Mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu unaoendelea kote nchini umeingia siku ya pili leo, wahahdiri wakisema kamwe hawatarejea kazini hadi serikali iwalipe pesa zao.