Wanafunzi waishi na watoto wao shuleni
Greenland ni shule ya kipekee nchini Kenya, inatoa nafasi ya pili kwa baadhi ya wasichana waliopata ujauzito mapema wakiwa bado shuleni na kutelekezwa nyumbani au kwa wasichana wanaoozeshwa ndoa za mapema.
-
Mbali na kupata elimu, pia wasichana hawa wanapata fursa ya kuishi na Watoto wao wachanga katika mazingira ya shule.
-
BBC ilipata fursa ya kufika shuleni humo na kuzungumza na baadhi ya kina mama wenye umri mdogo kuhusu kupata nafasi ya pili katika maisha
-
✍Anne Ngugi anaripoti
-
🎥: Judith Wambare -
-
-
-
#bbcswahili #elimu #kenya
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
18 Aug 2025
- Hundreds of students have decried the uncertainty surrounding their university school fees.
18 Aug 2025
- The project is expected to take 24 months.
18 Aug 2025
- Nairobi is among the regions flagged to experience moderate to heavy rainfall by the weatherman.
19 Aug 2025
- Vehicles used to smuggle goods to be handed to the State, says judge
19 Aug 2025
- Justice on sale: How racketeers at Busia courts are exploiting suspects, widows
19 Aug 2025
- DPP challenges the acquittal of terror suspects in explosives case
19 Aug 2025
- Parliamentary group meeting turned stormy due to leaders' sustained accusations of bribery against the National Assembly.
19 Aug 2025
- Group C- Painful exit awaits either Uganda, Algeria, or South Africa
19 Aug 2025
- What was presented to rice farmers as a solution to weeds has now become a nightmare.
19 Aug 2025
- It is important for Kenyans who intend to apply for a U.S. visa to be aware of recent
19 Aug 2025
- He’s reportedly determined to uncover who sidelined him and why, given his influential position.
19 Aug 2025
- Land has a vital role in sustaining human communities, nurturing diverse ecosystems, and regulating the climate of our planet.
19 Aug 2025
- Hustler-in-Chief woos vast youth voting bloc with empowerment schemes, start-up giveaways and skills, credit and jobs