18 Sep 2025 1:19 pm | Citizen TV 100 views Duration: 2:25 Mgomo wa wahadhiri kote nchini umeingia siku ya pili hii leo ambapo Wahadhiri wa chuo kikuu cha kibabii kaunti ya Bungoma wanashinikiza kutekelezwa kwa mkataba wao na serikali.