18 Sep 2025 1:27 pm | Citizen TV 100 views Duration: 1:20 Wahudumu wa afya katika kaunti ya nairobi wameanza mgomo wao rasmi leo wakilalamikia mishahara ya mwezi wa agosti ambayo haijalipwa pamoja na kutowasilishwa kwa makato ya miezi mitatu iliyopita.