18 Sep 2025 1:36 pm | Citizen TV 159 views Duration: 1:23 Kamishina wa Kaskazini Mashariki John Otieno ameongoza kamati ya usalama eneo hilo kuzuru kaunti ya Mandera kutathmini hali ya usalama baada ya tetezi kutoka kwa wenyeji kuhusu kuwepo kwa wanajeshi wa Jubaland.