- 105 viewsDuration: 1:38Wanafunzi wa Vyuo vya Mafunzo Anuai wametishia kuandamana wiki ijayo kwa kile wanachodai ni kutelekezwa na serikali. Wanafunzi hao wanasema licha ya Rais William Ruto kuahidi watapokea ufadhili wa masomo kwa miaka miwili sasa hawajapata mgao huo suala linalowasukuma wengi wao kuacha masomo kwa kushindwa kulipa karo.