- 158 viewsDuration: 4:12Vijana zaidi ya mia nne kutoka familia maskini kaunti ya Busia wanatarajiwa kunufaika chini ya mradi wa serikali wa nafasi za kujiendeleza, maarufu, Nyota. Vijana kutoka maeneo bunge yote nane ya Busia wameanza kupewa mafunzo maalum ya ujasiriamali