- 3,485 viewsTakribani nchi 10 duniani zinatajwa kuwa na aina hii ya miti ya kushangaza, inayoitwa Miti mawe. Tanzania ni moja ya nchi hizo. Kwa mujibu wa Wakala wa Huduma za Misitu nchini humo (TFS), miti hii inaweza kuishi miaka mpaka 150 kabla ya safari yake ya kugeuka jiwe inayochukua pia miaka na miaka. Mwandishi wa BBC Yusuph Mazimu, ametembelea kijiji cha Mbati, Kusini mwa nchi hiyo, katika mkoa wa Ruvuma, kijiji ambacho kwa mujibu wa TFS ni moja ya vijiji vichache duniani vyenye hifadhi kubwa ya miti hiyo. #bbcswahi #tanzania #misitu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Mti wa kushangaza unaogeuka jiwe Tanzania
- - Duniani Leo ››
- 19 Aug 2025 - Vehicles used to smuggle goods to be handed to the State, says judge
- 19 Aug 2025 - DPP challenges the acquittal of terror suspects in explosives case
- 19 Aug 2025 - Justice on sale: How racketeers at Busia courts are exploiting suspects, widows
- 19 Aug 2025 - Parliamentary group meeting turned stormy due to leaders' sustained accusations of bribery against the National Assembly.
- 19 Aug 2025 - Group C- Painful exit awaits either Uganda, Algeria, or South Africa
- 19 Aug 2025 - What was presented to rice farmers as a solution to weeds has now become a nightmare.
- 19 Aug 2025 - It is important for Kenyans who intend to apply for a U.S. visa to be aware of recent
- 19 Aug 2025 - Auditor cites inaccurate record keeping, unsupported expenditures as among the challenges.
- 19 Aug 2025 - He’s reportedly determined to uncover who sidelined him and why, given his influential position.
- 19 Aug 2025 - Land has a vital role in sustaining human communities, nurturing diverse ecosystems, and regulating the climate of our planet.