Polisi wa maadili Iran washtumiwa kwa kumshambulia msichana mwingine
Msichana mwenye umri wa miaka 16 inadaiwa yupo chini ya uangalizi maalumu wa madaktari kwenye hospitali ya kijeshi baada ya kudaiwa kupigwa na polisi wa maadili kwa kutovaa hijabu.
Picha za CCTV zilizotolewa na mamlaka zinaonesha kijana aliyeanguka akiondolewa kwenye treni.
Maafisa wanasema alizimia nakichwa chake kugonga chuma.
Iran imeimarisha sheria yake ya lazima ya kuvaa hijabu baada ya maandamano makubwa kufuatia kifo cha Mahsa Amini akiwa kizuizini kwa madai ya kutovaa hijabu yake ipasavyo zaidi ya mwaka mmoja uliopita.
#bbcswahili #iran #hijabu
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
18 Aug 2025
- Hundreds of students have decried the uncertainty surrounding their university school fees.
18 Aug 2025
- The project is expected to take 24 months.
18 Aug 2025
- Nairobi is among the regions flagged to experience moderate to heavy rainfall by the weatherman.
19 Aug 2025
- Vehicles used to smuggle goods to be handed to the State, says judge
19 Aug 2025
- Justice on sale: How racketeers at Busia courts are exploiting suspects, widows
19 Aug 2025
- DPP challenges the acquittal of terror suspects in explosives case
19 Aug 2025
- Parliamentary group meeting turned stormy due to leaders' sustained accusations of bribery against the National Assembly.
19 Aug 2025
- Group C- Painful exit awaits either Uganda, Algeria, or South Africa
19 Aug 2025
- What was presented to rice farmers as a solution to weeds has now become a nightmare.
19 Aug 2025
- It is important for Kenyans who intend to apply for a U.S. visa to be aware of recent
19 Aug 2025
- He’s reportedly determined to uncover who sidelined him and why, given his influential position.
19 Aug 2025
- Land has a vital role in sustaining human communities, nurturing diverse ecosystems, and regulating the climate of our planet.
19 Aug 2025
- Hustler-in-Chief woos vast youth voting bloc with empowerment schemes, start-up giveaways and skills, credit and jobs