Skip to main content
Skip to main content

Dunia Wiki Hii: Shambulizi la Israel nchini Qatar lashtumiwa kote duniani

  • | KBC Video
    195 views
    Duration: 25:05
    Katika makala ya juma hili - Septemba 13 2025; Shambulizi la Israel nchini Qatar lashtumiwa kote duniani huku Israel ikiimarisha mashambulizi jijini Gaza nao wapiganaji wa kipalestina wakiwaua watu 6 kwenye basi moja jijini Jerusalem. Rais Trump wa marekani asema yuko tayari kutekeleza awamu ya pili ya vikwazo dhidi ya urusi. Rais Paul Kagame wa Rwanda ahimiza kuwekwa wazi kwa anga za bara hili kwenye kongamano kuhusu uchukuzi wa ndege barani Afrika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News