Watu 4 wafariki kwa mkanyagano wakitaka kuingia ugani kuadhimisha Mashujaa Kericho
Watu wanne wamedhibitishwa kufariki huku wengine kumi na watatu wakijeruhiwa kwenye msongamano wa watu uliotokea mapema ijumaa alfajiri wakati watu walipong'ang'ana kuingia katika uwanja wa michezo wa kericho green kuhudhuria hafla ya kitaifa ya sherehe za siku kuu ya mashujaa.
Kamishna wa kaunti hiyo gilbert kitiyo alidhibitisha kisa hicho akisema miongoni mwa waliofariki ni kina mama wawili wa kupika chai huku maafisa wa polisi wakiwa miongoni mwa waliojeruhiwa kwenye kisa hicho.
Uwanja wa kericho green una uwezo wa kuchukua watu elfu 10,000 wakiwa wameketi
4 Aug 2025
- The warning comes amid complaints from Kenyans.
4 Aug 2025
- Harambee Stars secured their first-ever victory at CHAN on Sunday.
4 Aug 2025
- The pair was charged a day after their arrest.
5 Aug 2025
- At least 76 people were killed and dozens are missing after a boat carrying mostly Ethiopian migrants sank off Yemen, in the latest tragedy on the perilous sea route, officials told AFP Monday.
5 Aug 2025
- The salary review, which took effect on July 1, 2025, has left many educators stunned, with some receiving as little as KSh 500 in monthly pay increases — a figure they say fails to match the rising cost of living.
5 Aug 2025
- Varsities VCs protest course fee cuts as debts soar to Sh85 billion
5 Aug 2025
- Kenyans athletes focused on Tokyo Worlds despite Chan fever
5 Aug 2025
- Health insurance reforms echo NHIF failures, add new burdens
5 Aug 2025
- Judge declines to withdraw from Nairobi Hospital leadership row
5 Aug 2025
- Ruto comeback is almost guaranteed, thanks to confusion in opposition
5 Aug 2025
- Study reveals how Kenyan banks lose billions to fraud
5 Aug 2025
- Sudanese paramilitary fighters have killed at least 14 civilians trying to flee a besieged city in Darfur, a rights group said Monday, more than 27 months into their war against the army.
5 Aug 2025
- South Africa is seeking new markets in Africa and Asia as it negotiates with the United States over looming 30-percent trade tariffs, which could cost around 30,000 jobs, officials said Monday.