- 2,288 viewsDuration: 3:31President Ruto: Kitu cha kwanza, karibuni State House. Mko na ruhusa ya kuja hapa. Kuna wengine wanalalamika eti nimeifanya State House kuwa ya watu rejareja, wakisema inapaswa kuwa ya watu wakubwa na mabalozi. Wanasema nimeshusha heshima ya State House, lakini ukweli ni kwamba sijashusha, nimeinua heshima ya Wakenya