19 Sep 2025 11:22 am | Citizen TV 4,516 views Duration: 2:24 Wenyeji kutoka eneo la Nyanchwa viungani mwa mji wa Kisii wameandamana kushtumu uongozi wa kanisa la Kiadvetista chini ya Mwavuli wa South Kenya Conference kwa madai ya ufisadi, wizi wa mashamba na usimamizi mbaya