19 Sep 2025 11:28 am | Citizen TV 118 views Duration: 1:02 Huku msimu wa kuvuna ukianza kushika kasi katika Kaunti ya Trans Nzoia, wakulima na viongozi wa eneo hilo wameitaka serikali kuweka mikakati madhubuti ili kuhakikisha hawapati hasara baada ya mavuno,.