19 Sep 2025 11:32 am | Citizen TV 110 views Duration: 1:33 Waziri wa Mazingira na Misitu Deborah Barasa amezindua upanzi wa Mianzi katika Chuo Kikuu cha Kabianga kaunti ya Kericho.