Skip to main content
Skip to main content

Uhalifu jijini Mombasa

  • | Citizen TV
    1,179 views
    Duration: 2:49
    Polisi mombasa wanawatafuta washukiwa watatu wa wizi walionaswa kwenye kamera za cctv wakivamia wakazi katika mtaa wa leisure nyali kaunti ya mombasa. Tukio hilo la jumanne usiku sasa likizua wasiwasi miongoni mwa wakazi wanaosema visa hivi vimezidi. Francis mtalaki na mengi kutoka mombasa