Skip to main content
Skip to main content

Reagan Njoroge atoweka kwa muda wa miezi 6 mtaani Huruma

  • | Citizen TV
    1,900 views
    Duration: 3:02
    Familia moja mtaani huruma imeendelea kuhangaika kumtafuta kijana wao wa miaka 17 aliyepotea miezi sita iliyopita. Reagan njoroge alitoweka huruma alikokuwa akifanya kazi ya kusafirisha mitugi ya gesi na hadi sasa hajulikani aliko. Familia yake ikidai kuendelea kuhadaiwa na watu wanaodai kuwa na habari aliko. Aidha katika mtaa wa kabete, kaunti ya kiambu, familia ya neville mwangi inamtafuta mtoto huyo wa miaka mitano ambaye pia alitoweka.