- 747 viewsDuration: 1:09Baada ya miezi ya kilio kwenye mitandao ya kijamii, hatimaye sauti ya Scovia Halima imesikika. Mama huyo mchanga, ambaye alipata matatizo baada ya kujifungua tarehe 15 julai, alikuwa ametenganishwa na mtoto wake mchanga kwa zaidi ya miezi miwili akiwa amezuiliwa hospitalini kutokana na deni lililozidi shilingi milioni mbili.