19 Sep 2025 12:08 pm | Citizen TV 196 views Duration: 1:48 Miezi saba baada ya shule kadhaa za secondari msingi kuamua kuchukua mwelekeo wa masomo ya Kirusi kama njia mojawapo ya kusaidia watoto angalau kuelewa lugha moja ya kigeni kwa mujibu wa mtaala wa CBE nchini.