Skip to main content
Skip to main content

Wakulima washauriwa kununua mbegu zilizoidhinishwa

  • | Citizen TV
    210 views
    Duration: 1:57
    Wakulima wametakiwa kuhakikisha wanapata pembejeo zilizodhibitishwa ubora wake ili kuepukana na hasara kubwa inayosababishwa na pembejeo bandia, ambazo mara nyingi huathiri juhudi zao na kuwapotezea muda wakisubiri mavuno yasiyofanikishwa.