- 388 viewsMahandaki ya Hamas huko Gaza ndio lengo kuu la Israel wakati ikipanua mashambulizi yake ya ardhini kuingia eneo lenye msongamano wa watu katika kulipiza kisasi shambulizi la kushtukiza lililosababisha mauaji lililofanywa na kikundi cha Kiislam ndani huko kusini mwa Israel Oktoba 7. Mkuu wa zamani wa Ofisi ya Habari Jerusalem Stephen Farrell anaeleza: Gaza ni kituo cha Hamas, na kuna mtandao mkubwa wa mahandaki huko. Gaza na ni kituo cha siri cha nguvu za kijeshi katika eneo hilo. Hilo ndio eneo la Hamas kukimbilia kujificha, kuwaficha mateka, na kurusha roketi, kuhifadhi silaha, na ndio sababu mtandao huo ni muhimu sana kwa Israel. Hatua ya kwanza, imeharibu eneo la juu ya ardhi lililokuwa linaficha mahandaki hayo ili wapiganaji wa Hamas wasiwe na mahali pa kukimbilia. Hivi sasa, majeshi ya Israeli yanaingia chini ya ardhi ili kuweza kuwaokoa mateka, kuwaua au kuwakamata wapiganaji wa Hamas na kuwazuia au kuwasitisha wasiweze kamwe kufanya kitendo hiki tena. Nimekuwa katika baadhi ya haya mahandaki huko Gaza. Yale madogo ya kibiashara ni kiasi cha futi tatu hadi nne kwa upana. Mahandaki ya kijeshi ni yenye mfumo imara zaidi, yamejengwa kwa zege, na kina chake kikubwa. Itakuwa vigumu sana, sana, sana kabisa kwa Israel kuwatokomeza wapiganaji wa Hamas kutoka katika mtandao huo. #gaza #israel #palestine #reels #igreels #videography #voa #voaafrica #dagestan #russia
'Gaza na ni kituo cha siri cha nguvu za wapiganaji wa Hamas katika eneo hilo'
- - 🔴 TV47 LIVE ››
- - 🔴 TV47 LIVE ››
- 12 Aug 2025 - DAP-K leader Eugene Wamalwa now says there is a plan by President William Ruto to infiltrate the political outfit through frivolous petitions seeking a change in leadership.
- 12 Aug 2025 - A woman has been arrested in Bondeni, Nakuru County for allegedly supplying cannabis and cannabis-laced cookies to minors in what authorities describe as a deliberate attempt to lure children into drug abuse.
- 12 Aug 2025 - The National Police Service Commission (NPSC) is facing mounting internal tensions that threaten to derail the planned recruitment of 10,000 new police officers this September.
- 12 Aug 2025 - The nominees will join several committees.
- 12 Aug 2025 - The DP said the decision by President William Ruto remains in force and is meant to do away with past discriminatory tendencies targeting some communities.
- 12 Aug 2025 - The Speaker has been on the detectives' radar.
- 12 Aug 2025 - Speaking during International Youth Day celebrations at Masinde Muliro University in Kakamega County, Dr. Ruto lauded the energy, creativity, and resilience of Kenyan youths, noting their influence in sectors such as science, technology, and sports.
- 12 Aug 2025 - The court is expected to provide further directions in the coming weeks.
- 12 Aug 2025 - The Senator's love life has been subject of immense controversy.
- 12 Aug 2025 - After the friendly tournament in Tanzania, they will then head for the CAF games on September 19.