Blinken atoa onyo kwa mtu yoyote atayetaka kuchukua fursa ya mzozo wa Gaza

  • | VOA Swahili
    655 views
    Katika ziara ambayo haikutangazwa nchini Iraq Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken atoa onyo kwa pande zote tatu dhidi ya hatua za kupanua vita baina ya Israel na Hamas. “Kwa mtu yoyote ambaye atataka kuchukua fursa ya mzozo wa Gaza, kutishia wanajeshi wetu hapa au kwengineko katika eneo hilo msifanye hivyo. Endelea kusikiliza… #lebanon #israel #voa #reels #igreels #videography #hezbollah #hamas #gaza #shambulizi #hamas #waziriwamamboyanje #marekani #antonyblinken