- 354 views“Nilipokuwa natoa hotuba yangu katika Bunge la Israel (Knesset) nilikuwa nasema watoto huko kusini mwa nchi hii na huko Gaza wanastahili kuishi na wakaanza kelele hizo na mimi, unaweza kuona kuwa nilipatwa na aina fulani ya mshtuko kwa muda mfupi. Ukweli, sikuweza kufikiria kuwa kuna mtu ataniambia kuwa hakuna usawa baina ya watoto hawa, na watoto hawako sawa. Hilo sawa. Iwapo unazungumzia kuhusu watu wazima, simaanishi kuwa hilo linakubalika, lakini tunaweza kubishana. Lakini watoto? Watoto wasio na hatia? Na kuna mtu anahoji haki za watoto kuishi? Halafu limekuja jambo baya sana, kwa maoni yangu , ni hukumu ambayo kwa jumla imenishtua sana kwamba watoto wa Gaza wamejisababishia wao wenyewe, ikimaanisha kupigwa mabomu na kuuwawa. Hakuna maelezo. Ninaweza kulia kwa ajili ya Myahudi, Mhindu au mtoto mwengine ambaye ameuawa kama nitakavyo mlilia mtoto wa Kipalestina, ambaye ameuawa. #israel #gaza #iran #reels #igreels #voa #voaafrica#knesset #hadash
Mahojiano na mbunge wa Israel Aida Touma-Suleiman
- 2 Aug 2025 - While enumerating productive interventions implemented in various sectors to ensure better livelihoods, the DP said the administration will not relent in nation building and continued pursuit of economic growth.
- 2 Aug 2025 - Human rights activist Mwabili Mwagodi claims his life is in danger following his recent criticism of the government.
- 2 Aug 2025 - A police officer had called for reducing women recruits, labeling them 'weak'.
- 2 Aug 2025 - A section of residents and school officials from Mukuru kwa Ruben were on Friday blocked from accessing Gatoto Community Primary School, despite a court order that overturned an attempt by the government to register the school under its wings.
- 2 Aug 2025 - South Africa's deputy president defended himself Friday for failing to declare a gift to his wife of a diamond from a jailed gem dealer.
- 2 Aug 2025 - Former ICT Cabinet Secretary Margaret Nyambura Ndung'u has been appointed as senior researcher and digital policy specialist at the Digital Public Infrastructure (DPI) Safeguards Strategic Advisory Board, an initiative by the United Nations Office for…
- 2 Aug 2025 - The ranks are divided into two systems, and provide structure and organisation to KDF.
- 2 Aug 2025 - Moussa Mara expressed solidarity with opposition figures held after political parties were dissolved.
- 2 Aug 2025 - Water contributes 55% to 65% of total body mass.
- 2 Aug 2025 - Mbadi also addressed claims of supporting Gachagua ahead of 2027.