Waandishi wa habari wakatishwa tamaa na vyombo vinavyoshughulikia matatizo yanayowakumba

  • | VOA Swahili
    91 views
    Dhulma dhidi ya wanahabari na kutojali kwa vyombo husika kumewakatisha tamaa wanahabari wengi wanaokumbwa na matatizo. Kati ya Septemba 2013 na Agosti 2023, zaidi ya waandishi wa habari 200 waliuawa kwa kazi yao. Kwa mujibu wa shirika la kuwalinda waandishi CPJ hakuna aliyewajibishwa katika kesi 204, au zaidi ya asilimia 78, kati ya mauaji hayo ikikatisha tamaa. #voa #afrika #waandishi #dhulma - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.