Nchi za Afrika zilizoko kusini mwa jangwa la Sahara ziko nyuma katika kupunguza idadi ya vifo

  • | VOA Swahili
    115 views
    - - - - - Wakati kipengele namba nne cha lengo namba tatu kati ya malengo ya milenia kikieleza kuwa ifikapo mwaka 2030, kuwepo na kupungua kwa theluthi moja ya vifo vya mapema kutokana na magonjwa yasiyoambukiza kupitia kinga na matibabu, wataalam wa Afya wanaeleza kuwa mataifa mengi yanayoendelea yakiwemo ya kusini mwa jangwa la Sahara bado yapo mbali kufikia kipengele hicho kutokana na kuendelea kuongezeka kwa watu wanaougua magonjwa hayo.