- 46 viewskituo kikubwa cha matibabu huko Ukanda wa Gaza ambacho hivi karibuni kilikumbwa na amri ya Israel kutaka watu waondoke. Lakini raia, wakiwa kwenye mahema katika eneo la hospitali, wanasema hawana pa kwenda, na hawapangi kuondoka. Vibanda vya vyakula na nguo vimewekwa kuzunguka hospitali. Mwanamke mmoja asiyekuwa na makazo, Om Haitham Hejela, anasema hali ni mbaya sana hapo hospitali lakini anasisitiza kwamba hataondoka hospitali ya Al-Shifa kwa vile hana kwingine kwa kwenda. Jeshi la Israel limelishutumu kundi la harakati za Kiislamu Hamas siku ya Ijumaa (Oktoba 27) kwa kuitumia hospitali kuu huko Gaza kama ngao kwa ajili ya mahandaki na vituo vyao vya operesheni. Afisa wa Hamas Ezzat El-Reshiq, mwanachama wa kitengo cha harakati za kisiasa, alisema kwenye Telegram: “Hakuna ukweli kwa kile ambacho kimeripotiwa na msemaji wa jeshi la adui,” akiishutumu Israel kwa kusambaza uongo kama “utangulizi wa kutenda maafa makubwa mapya dhidi ya watu wetu.” Hospitali hivi sasa ni makazi ya wapalestina takriban 50,000 wasiokuwa na makazi, maafisa wa afya wanasema. Maafsia wa afya katika hospitali za Al-Shifa na Al-Quds wamesema mashambulizi ya anga yamepiga karibu na majengo yao. Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya masuala ya kibinadamu OCHR imesema raia 117,000 wanahifadhiwa pamoja na maelfu ya wagonjwa na madaktari katika hospitali za kaskazini. #Alshifa #israel #voa #reels #igreels #videography #hezbollah #hamas #gaza #shambulizi #hamas #benjaminnetanyahu #wazirimkuu
Maelfu ya wapalestina wamejihifadhi katika hospitali ya Al-Shifa
- 18 Aug 2025 - Chinese foreign minister Wang Yi will visit India from Monday to Wednesday, China's foreign ministry said in a statement on Saturday, for talks about a disputed border in the Himalayas.
- 18 Aug 2025 - The high-profile meeting, set to take place at the KCB Leadership Centre in Nairobi, will bring together all MPs from the two parties under the framework of the broad-based government arrangement.
- 18 Aug 2025 - The inferno, which broke out earlier this week, claimed the life of one person while two minors are fighting for their lives at the Kenyatta National Hospital after sustaining severe burns.
- 18 Aug 2025 - In a strongly worded social media post, the former Gatundu South MP criticized what he termed the “broad-brush condemnation” of the Kikuyu community in the wake of the impeachment of former Deputy President Rigathi Gachagua. Kuria urged leaders to focus…
- 17 Aug 2025 - The Orange Democratic Movement (ODM) Party has announced nomination fees ahead of its upcoming county delegates’ elections. In
- 17 Aug 2025 - Kapseret MP Oscar Sudi has praised Harambee Stars supporters for celebrating peacefully after the team’s 1-0 victory over
- 17 Aug 2025 - Overnight Saturday to Sunday, the Allied Democratic Forces carried out attacks against civilians in the town of Oicha, looting shops and setting fire to homes, according to accounts collected by AFP on the spot.
- 17 Aug 2025 - Former Deputy President Rigathi Gachagua has hailed Harambee Stars following their hard-fought 1-0 victory over Zambia that secured
- - Former Uganda president Idi Amin Dada's dictatorial rule and legacy
- 17 Aug 2025 - The meeting follows a summit in Alaska between Trump and Russian President Vladimir Putin that failed to yield any breakthrough on an immediate ceasefire that the US leader had been pushing for. 3