Rais wa Uganda Yoweri Museveni alisema Jumapili Marekani imejikadiria kupita kiasi umuhimu wake kwa mataifa ya Afrika Mashariki baada ya Washington kuamua kuiondoa Kampala kutoka katika mkataba wa biashara ya mpango wa African Growth and Opportunity Act, AGOA, kwa kukiuka haki za binadamu.
Marekani wiki iliyopita ilisema ilikuwa inaziondosha nchi kadhaa kutoka mpango wa African Growth and Opportunity Act, AGOA, kuanzia Januari 2024.
AGOA inatoa fursa kwa nchi za Kiafrika, zinazo kidhi viwango vya demokrasia na kutathminiwa kila mwaka, kuuza bidhaa zao katika soko la Marekani bila ya kutozwa ushuru – soko la ulimwengu lenye wanunuzi wengi zaidi.
Katika barua yake aliyotuma Bunge la Marekani, Rais wa Marekani Joe Biden alisema serikali za Jamhuri ya Afrika ya Kati na Uganda zote "zilishiriki katika uvunjaji wa sheria za haki za binadamu zinazotambuliwa kimataifa." (VOA).
#agoa #Uganda, #CAR #CentralAfricanRepublic #Gabon #Niger #Museveni
18 Aug 2025
- Chinese foreign minister Wang Yi will visit India from Monday to Wednesday, China's foreign ministry said in a statement on Saturday, for talks about a disputed border in the Himalayas.
18 Aug 2025
- The high-profile meeting, set to take place at the KCB Leadership Centre in Nairobi, will bring together all MPs from the two parties under the framework of the broad-based government arrangement.
18 Aug 2025
- The inferno, which broke out earlier this week, claimed the life of one person while two minors are fighting for their lives at the Kenyatta National Hospital after sustaining severe burns.
18 Aug 2025
- In a strongly worded social media post, the former Gatundu South MP criticized what he termed the “broad-brush condemnation” of the Kikuyu community in the wake of the impeachment of former Deputy President Rigathi Gachagua. Kuria urged leaders to focus…
17 Aug 2025
- Overnight Saturday to Sunday, the Allied Democratic Forces carried out attacks against civilians in the town of Oicha, looting shops and setting fire to homes, according to accounts collected by AFP on the spot.
17 Aug 2025
- The meeting follows a summit in Alaska between Trump and Russian President Vladimir Putin that failed to yield any breakthrough on an immediate ceasefire that the US leader had been pushing for. 3