Kenya huenda ikapoteza kiwango kikubwa cha ushuru

  • | VOA Swahili
    439 views
    Huko Kenya taifa hilo huenda likapoteza kiwango kikubwa cha ushuru wake unaotokana na sekta ya mafuta, hii ni kufuatia hatua ya taifa la Uganda ambalo lilikuwa likiingiza mafuta yake kusitisha mfumo huo. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.