Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken Jumatano amesema Ukanda wa Gaza hauwezi kuendeshwa na Hamas au kukaliwa kimabavu na Israel baada ya vita vya karibuni katika eneo la Palestina.
Blinken alisema kipindi cha mpito baada ya kumalizika kwa mzozo huenda kikawa ni muhimu hilo kusisitizwa “ ni muhimu kwamba watu wa Palestina wawe ni kiini cha utawala huko Gaza na Ukingo wa Magharibi pia, na kwamba, kwa mara nyingine, hatuoni eneo hilo kukaliwa kimabavu.”
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu hakufafanua wiki hii lini alisema kwamba Israel itadhibiti kwa muda usiojulikana “majukumu yote ya ulinzi” huko Gaza mara atakapowaondoa madarakani wanamgambo wa Hamas.
Lakini yaliyotokea siku zilizopita yanapendekeza kwa jukumu lolote la ulinzi la Israel litaonekana kuwa ni ukaliaji wa kimabavu, hasa na jumuiya ya kiamtaifa ambayo itaona ni aina fulani ya uvamizi wa kijeshi, na kukanganya mipango yoyote ya kukabidhi majukumu ya utawala kwa Mamlaka ya Palestina au mataifa rafiki ya kiarabu.
Hata kama Israel itafanikiwa kumaliza utawala wa miaka 16 wa Hamas huko Gaza na kuvunja miundo mbinu ya wanamgambo, uwepo wa majeshi ya Israel huenda ukachochea uasi, kama ilivyotokea kutoka mwaka 1967 mpaka 2005, kipindi ambacho kulishuhudiwa kuwepo kwa uasi kwa Palestina na kuibuka kwa Hamas.
#israel #gaza #iran #reels #igreels #voa #hamas #waziri #mamboyanje #antonyblinken
18 Aug 2025
- Chinese foreign minister Wang Yi will visit India from Monday to Wednesday, China's foreign ministry said in a statement on Saturday, for talks about a disputed border in the Himalayas.
18 Aug 2025
- The high-profile meeting, set to take place at the KCB Leadership Centre in Nairobi, will bring together all MPs from the two parties under the framework of the broad-based government arrangement.
18 Aug 2025
- The inferno, which broke out earlier this week, claimed the life of one person while two minors are fighting for their lives at the Kenyatta National Hospital after sustaining severe burns.
18 Aug 2025
- In a strongly worded social media post, the former Gatundu South MP criticized what he termed the “broad-brush condemnation” of the Kikuyu community in the wake of the impeachment of former Deputy President Rigathi Gachagua. Kuria urged leaders to focus…
17 Aug 2025
- Overnight Saturday to Sunday, the Allied Democratic Forces carried out attacks against civilians in the town of Oicha, looting shops and setting fire to homes, according to accounts collected by AFP on the spot.
17 Aug 2025
- The meeting follows a summit in Alaska between Trump and Russian President Vladimir Putin that failed to yield any breakthrough on an immediate ceasefire that the US leader had been pushing for. 3