Barua za mapenzi za miaka 250 zafunguliwa kwa mara ya kwanza
Barua zilizochukuliwa na Jeshi la Uingereza kabla ya kuwafikia Mabaharia wa Ufaransa wakati wa Vita vilivyodumu kwa Miaka Saba zimefunguliwa kwa mara ya kwanza.
Ziliandikwa mwaka 1757-8, zilitumwa kutoka kwa wapendwa wao kwenda kwa wafanyakazi kwenye meli ya kivita ya Ufaransa, lakini hazikuwafikia.
Prof Renaud Morieux kutoka Chuo Kikuu cha Cambridge, ambaye aligundua barua hizo, alisema zinatoa uelewa wa kuvutia kuhusu maisha ya Mabaharia na familia zao katika miaka ya 1700.
Katika barua hizo ipo kutoka kwa mke, mama akihoji mtoto wake kwa kukaa kimya na kutomuandikia.
#bbcswahili #ufaransa #uingereza
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
18 Aug 2025
- Hundreds of students have decried the uncertainty surrounding their university school fees.
18 Aug 2025
- The project is expected to take 24 months.
18 Aug 2025
- Nairobi is among the regions flagged to experience moderate to heavy rainfall by the weatherman.
19 Aug 2025
- Although the Ministry of Education assured that the adjustments had been finalized, most universities are still unable to provide clear details on the revised fees, leaving many students uncertain about how much they are required to pay as admissions…
19 Aug 2025
- Meeting for their first-ever joint parliamentary group session, MPs from the two rival parties agreed on an implementation matrix that sets clear timelines for the process.
19 Aug 2025
- The meeting, attended by President Ruto, his deputy Prof. Kithure Kindiki, and ODM leader Raila Odinga, was expected to foster unity between the two sides. Instead, it was dominated by heated exchanges over corruption allegations that have rocked both…
19 Aug 2025
- In a Gazette Notice dated August 18, Senate Speaker Amason Kingi announced that the session, scheduled for 2:30 p.m. at the Senate Chamber in Parliament Buildings, Nairobi, will begin with Nabwire's official oath-taking.
19 Aug 2025
- Court awards intersex athlete Sh1m, orders State to improve prisons
19 Aug 2025
- Cake or crumbs? Counties starved of funds despite devolution promise
19 Aug 2025
- Arts stage loses boys as girls dominate festival
19 Aug 2025
- IM Bank eyes organic growth as half-year profit hits Sh11.7b
19 Aug 2025
- Confusion as SHA shuts all regional offices
19 Aug 2025
- Teachers' unions oppose Raila's proposal to devolve education